Wap inakuwezesha kutuma taarifa za oda, kurudisha wateja walioacha bidhaa kapuni (Abandoned Cart), na kutoa WhatsApp OTP moja kwa moja kutoka WooCommerce.
Tunawategemeza Wafanyabiashara wa:
Acha kupoteza muda kutuma meseji moja moja kwa wateja. Wap inafanya kazi saa 24 kwa niaba yako.
Mteja akijaza namba ya simu na kuacha bidhaa, Wap itamtumia ujumbe wa WhatsApp kumkumbusha akamilishe baada ya muda uliopangwa.
Punguza oda za uongo (Fake Orders). Hakikisha kila anayeagiza anathibitisha namba yake kwa kodi inayotumwa moja kwa moja WhatsApp.
Oda imepokelewa? Imesafirishwa? Mteja atapata ujumbe kila hatua. Inapunguza maswali ya "mzigo wangu upo wapi?"
Wateja wengi nchini Tanzania hawafungui barua pepe mara kwa mara, lakini kila mtu anaangalia WhatsApp yake kila dakika 10.
Ukituma ujumbe WhatsApp, nafasi ya mteja kuuona ni 98% ikilinganishwa na 20% ya Email.
Anza bure, lipia kadiri biashara yako inavyokua.
Kwa maduka madogo yanayoanza.
Kila kitu unachohitaji ili kukimbiza.
Kwa kampuni kubwa zenye mahitaji maalum.
Ndiyo, kwa sasa plugin yetu imeboreshwa mahususi kwa ajili ya WooCommerce, lakini tunayo API (Api Docs) inayoweza kutumika na mfumo wowote ule kama PHP, Python, au Java.
Tunatumia mfumo wa kisasa unaozingatia kanuni za Meta (Official Business API) na pia tuna mfumo wetu wa Anti-Spam ili kuhakikisha namba yako inakuwa salama wakati wote.
Hapana! Unacholipa kwenye subscription ndicho unachotumia. Hatuna gharama za siri kwenye kila meseji unayotuma (No per-message cost kwa Pro plan).